1.Kushirikisha wadau tofouti katika maeneo husika ili kuongeza uchangiaji wa mawazo na/au nyenzo ,usimamizi,uratibu na utekelezaji wa kazi za tume ya kudhibiti UKIMWI
2.Kusimamia uundaji wa kamati zote za kudhibiti ukimwi
3.Kupendekeza au kuchambua hali ya ukimwi/Mipango na utekelezaji wake na kufikisha katika ngazi husika kwa hatua zaidi
4.Kutathimini hali ya ukimwi katika eneo lake kuhusu
a.Idadi ya waathirika ,wagojwa,yatima,wajane na wagane
b.Kasi ya maambukizo
c.Mazingira maalumu yanayochangia maambukizo
d.Uelewa wa wamanchi juu ya janga hili
5.Kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha kila motto aliyefika umri wa kwend shule anafanya hivyo
6.Uweka mikakati ya makusudi juu ya njia bora za kuchangia badhi ya huduma za elimu na afya
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa